BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HAJA KUBWA YAMSABABISHIA MWIZI AKAMATWE NA POLISI

Mwizi mmoja amekamatwa baada ya maafisa wa polisi kusema kuwa aliwacha ushahidi muhimu katika eneo la wizi baada ya kushindwa kusafisha choo alichotumia kwenda haja.

Wachunguzi wanasema kuwa sampuli za mikojo za Andrew Jensen katika nyumba hiyo ya Los Angeles ya Thousand Oak inafanana na vinasaba vya data ya FBI.

Jamaa huyo mwenye umri wa miaka 42 alikamatwa mnamo mwezi Julai 28 mwaka mmoja baada ya uvamizi mwengine wa nyumba moja mnamo mwezi Oktoba 2016.

Polisi wanasema kuwa wanakusanya ushahidi uliowachwa katika eneo la uhalifu.

Afisa mkuu wa polisi katika eneo la Ventura Tim Lohman alisema kuwa alifanya haja na hakusaficha choo.

''Watu wengine hawajui kwamba DNA zinaweza kupatikana kupitia maeneo mengine mbali na mate na nywele''.

''Tunachunguza ushahidi wowote ambao umewachwa.Iwe sigara iliovutwa, ama mkebe ambao umewachwa nyuma ,tutautathimini''.Bwana Jensen ambaye aliwachiliwa huru kwa dola 70,000 anazuiliwa
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: