BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KIMONDO AINA YA ASTREID YATISHIA UHAI WA DUNIA


NASA inatuma chombo kuchunguza jiwe kubwa linaloelea angani ambalo huenda likahatarisha Sayari ya dunia mwaka 2135. 


Jiwe hilo limepewa jina la BENNU lina ukubwa wa kipenyo cha mita 500 yaani urefu wa viwanja vitano vya mpira, endapo litaigonga dunia mlipuko wake ni sawa na tani bilioni tatu za milipuko au sawa na mabomu 200 ya hiroshima.

Unaambiwa hadi sasa Kimondo hicho kimesogea km 160 tangu 1999. Ingawa wengi wetu wa kizazi hiki hatutakuwepo karne hiyo lakini madhara yatakayowakuta vizazi hivyo ni hatari hii ni kwa mujibu wa news duniani.
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment