BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WEZI WA MAGARI WABUNI MBINU MPYA YA KUIBA MAGARI, PUNDA WATUMIKA

Polisi nchini Afrika Kusini wametibua jaribio la kulisafirisha gari moja la kifahari lililokuwa limeibwa kwenda nchini Zimbabwe kwa kutumia punda kupitia mto Limpopo.

Washukiwa walitoroka kwenda vichakani kueleka upande wa zimbabwe baada ya jitihada zao za kulikwamua gari hilo kutoka kwenye mchanga kushindikana.

Disemba iliyopita gari lililokuwa limeibwa kutoka mjini Durban lilipatikana mtuo huo huo likiwa limefungiwa kwa kutumia kamba kwa kundi la punda.

Polisi wanachunguza ikiwa kuna genge linalohusika na wizi huo.

Mto Limpopo ndio mpaka kati ya Afrika Kusini na Zimbabwe na ni maarufu kama njia wanayopitia wahamiaji haramu kati ya nchi hizo mbili, lakini ataraiga za mto huo kutumia kupitisha magari yaliyobwa bana za kushagza.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: