BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KIPA ALIYEDAKIA MCHEZO WA SIMBA SC DAY AFARIKI DUNIA RWANDA


Rwanda. Kipa wa Rayon Sports, Evariste Mutuyimana (Pichani) aliyedaka kwenye mechi dhidi ya Simba siku ya Simba Day jijini Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, amefariki dunia leo Jumanne kwenye Hospitali ya Kigali nchini Rwanda.


Shirikisho la Soka Rwanda (FERWAFA) limethibitisha kutokea kwa kifo cha mchezaji huyo, huku likitoa salamu za pole kwa klabu ya Rayon Sports.


Mchezaji huyo alijiunga na klabu hiyo msimu wa mwaka 2016/17 akitokea Sofapaka FC ya Kenya/mwanaspoti.co.tz
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: