BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HUYU NDIYE SHEIKH MKUU WA WAISLAM MKOA WA MOROGORO ALIYEFARIKI DUNIA MUHMBILI.

Sheikhe mkuu wa mkoa wa Morogoro, Abdallah Mkangambe enzi za uhai wake.
Sheikhe mkuu wa mkoa wa Morogoro, Abdallah Mkangambe akiomba dua ya kumuombea rais Dk John Magufuli aepukane na maadui iliyofanyika kwenye uwanja wa jamhuri Morogoro
Jun 17, 2017 uwanja wa jamhuri Morogoro, wa kwanza kushoto ni Kamanada wa polisi Morogoro, Ulrich Matei, Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini, Abdullaziz Abood na Mchungaji wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Emmanuel Tengeneza.

Sheikhe mkuu wa mkoa wa Morogoro amefariki dunia leo katika hospitali ya rufaa ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam ambapo mazishi ya kiongozi huyo kwa kiislam yanatarajia kufanyika kesho kwenye makaburi ya Kola.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: