Mfanyabiashara Yusuph Manji (41) amewasili kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwaajili yakusomewa Hukumu hii leo Ijumaa.Manji anakabiliwa na shtaka lakutumia dawa za kulevya na tayari upande wa mshtaka umeshatoa ushahidi na upande wa utetezi umeshatoa utetezi .

0 comments:
Post a Comment