
Na Geofrey Chambua.
Waziri mkuu wa zamani wa Malaysia Dr.Mahathir Mohamad amepata ushindi wa kihistoria katika uchaguzi mkuu uliofanyika katika taifa hilo.
Akiwa na umri wa miaka 92 Mhathir ameachana na kuitwa mstaafu na amerejea tena kuchukua nafasi ya mfuasi wake huyo wa zamani yaani, Najib Razak ambaye utawala wake umekuwa na shutuma kadhaa za rushwa.
Hapo kabla rekodi ya Kiongozi mwenye umri mkubwa ilishikiliwa na Bob wa Zimbabwe ambaye alilazimika kuachia madaraka akiwa na umri wa miaka 92

0 comments:
Post a Comment