Huenda umeichukulia ni namba tu kama zilivyo namba nyingine lakini ukizama zaidi utagundua hii namba ina mauzauza yake kila mmoja akiichambua kivyake, Geofrey Chambua anaeleza.
neno propaganda hapa limeunganishwa na aina kuu tatu za propaganda (Nyeusi, nyeupe na kijivu)
Propaganda kwamba ni NAMBA YA 'MIKOSI'
Namba 12 inasemekana tangu kale ni namba KAMILIFU na ndio maana hata miezi ni 12, wanafunzi 12, makabila 12 ya Israeli, watoto 12 wa Yakobo, dazani ina vitu 12, hata futi moja ina inchi 12 nk, namba inayofuatia ni YA MIKOSI
Maisha yangu ya kutazama soka sijawahi kuona mchezaji mwenye jezi namba 13 naendelea kusakanya. Hata hivyo timu nguli za soka kama Liverpool na Arsenal zimeshaondoa KABISA namba 13 miongoni mwa namba za jezi zao (hata kama ulikua unaivaa ulikotoka Afield ni mwiko)
However, one number is feared to be greatly unlucky, not only in football, but around the globe. You guessed right! Number 13 has always been thought to bring bad luck to those who use it. To top it all, the history of the number, since ancient times, does add concerns about it being ill-fated. This certainly makes people superstitious about number 13. The belief of number 13 being unlucky is equally staunch in football.
Kibiashara pia tarehe 13 inahusishwa kuwa ni siku ya kutoa sadaka kwa mizimu,mara nyingi siku hii inakuwa haina faida kwao,mauzo yanashuka kiasi.
Kwenye usafiri,mara nyingi watu wenye nguvu za giza hawezi kukaa siti namba 13,wengi wanaikwepa.....fukunyua utagundua

Kwa wafanyakazi maofisini kuanzia siku ya 13 kunakuwaga na nuksi na mifarakano ya hapa na pale.
Ukienda Mahospitalini Kitanda namba 13 kinachukua sana uhai wa watu,kwa waliokomaa kwenye nguvu za kishetani huwezi kumlaza kitanda hicho yuko radhi akaugulie nyumbani au ahame kitanda kuliko kulala hicho kitanda.
Yasemekana karibia hoteli zote duniani hakuna chumba namba 13,badala yake wanaweka chumba namba 12A na 12B. Wanasema pia China na Amerika hakuna ghorofa lenye floor ya 13 wanaruka toka 12 hadi 14 (kinadharia tu).
If you visit China or America, you will find that most hotels and buildings don’t have a thirteenth floor. You will see floor number twelve and you will see floor number fourteen but there will be no thirteenth floor in the middle since it is considered unlucky
Huko Ujerumani yasemekana hawatumii NAMBA 13, hata wewe ikiwa umezaliwa tarehe 13 ama jina lako lina herufi 13 JICHUNGUZE VIZURI.
There’s an old superstition that says if you have 13 letters in your name, you’re bound to be cursed.
Gazeti moja liliwahi kuzama zaidi kwenye ndoa zilizofungwa tarehe 13 (hapo utabashiri waligundua nini)

Moja ya misheni kubwa ambazo zimeshindwa DUNIANI ni ile ya Appolo 13.
This was the single unsuccessful mission by the superpower United States of America. It was supposed to land on the moon but it failed. On April 13, 1970 an oxygen tank exploded and this caused the ground crew and the flight crew to go through a number of intense and difficult days
Yasemekana chakula cha mwisho cha Pasaka ilikua Ijumaa ya Tarehe 13 kati ya Nabii Issa na wanafunzi wake na hata chakulani kulikua na watu 13 na aliyekalia siti namba 13 alikua YUDA
Hata wazee wa Baobonye wanasadiki kwamba namba 13 ni mikosi na ndio maana hawajatoa toleo la Microsoft namba 13
Even Microsoft considers the number 13 very unlucky and that is the reason why there is no version 13 of Microsoft office. The version 12 is Microsoft Office 2007 and the next version Microsoft Office 2010 is actually version 14. Thus, the company skipped number 13 all together.
Ziara ya Donald Trump iliyopangwa kufanyika IJUMAA ya tarehe 13 Mwezi Julai tayari imehusishwa na KITU na huenda nitakisema wakati ukifika.
There were 13 original colonies of the United States.Because of the 13 original colonies, the first US flag had 13 stripes and 13 white stars.There are 13 stars on the Great Seal of the United States-unganisha DOTI mwenyewe
ufukunyuzi unaendelea na wewe utujuze ukiibua jambo..
Propaganda kwamba NAMBA 13 NI YA 'BAHATI'
Wacheza kamari wengi nchini Italy wanaichukulia namba 13 kama namba ya BAHATI katika kula mzigo hata hivyo sio kwa wanaobeti Uingereza.
You can also think about the analysis made by The Telegraph, the leading United Kingdom newspaper, in 2005. They analyzed the lottery balls that won right form the year 1994, which marked the beginning of the UK National Lottery. Their analysis showed that number 13 was indeed an unlucky number
Wanariadha wengi wameihusisha namba 13 kama namba ya BAHATI na huiweka kwenye jezi zao mathalani wanariadha kama Wilt Chamberlain, Alex Rodriguez and Pavel Datsyuk.
Kadhalika wapo wanasoka wengi waliong'aa kwenye duru la kimataifa na jezi namba 13 haka uonavyo pichani Thomas Mueller aliyeshinda kombe la dunia na Michael Balack

0 comments:
Post a Comment