BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

ABIRIA WA MGETA JUU YA DALADALA MORO.

Daladala linalosafirisha abiria kati ya Mgeta na mjini Morogoro likipita eneo la Mzumbe huku baadhi yao wakiwa juu ya gari hilo wakati wakisafiri kuelekea Mgeta ambapo hali hiyo ni ukiukaji wa sheria ya usalama wa barabarani.



Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: