BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

NISHATI INAYOPATIKANA KWA URAHISI VIJIJINI NI KUNI

Wakazi wa kijiji cha Peko Misegese, Wahindi Felisia na Mama Mbena wa kata ya Mlali wilayani Mvomero mkoa wa Morogoro wakiwa na mizigo ya kuni kichwani baada ya kuzikata polini wakati wakielekea kijijini hapa kwa ajili ya matumizi ya kupikia chakula kijijini hapo.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: