BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

AJALI YA DALADALA STENDI YA MASIKA.

Daladala T 503 AYJ linalofanya safarisha abiria mjini Kihonda likiwa limepata ajali stendi ya daladala Masika mkoani Morogoro baada ya kugongwa na lori la kulolea taka ngumu SM 3681 (halipo pichani ) mali ya Halmashauri ya Manispaa hiyo kwa kuligonga na kufunga barabara hiyo na kusababisha msongomano kwa watumiaji wengine.



Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: