Muuguzi daraja la pili, Theodory Babwanga akimhudumia Saidi Abdallah (41) (Albino) mkazi wa kitongoji cha Ongolelo katika kijiji cha Melela wilayani Mvomero mkoa wa Morogoro katika ward namba moja ya hospitali ya rufaa ya mkoa huo baada ya kukatwa mkono na watu wasiojulikana wakati akifunga kuni katika shamba lake kwa ajili ya biashara ili kupata pesa za matumizi.
ALBINO ALIYEKATWA MKONO MELELA MKOANI MORO.
Muuguzi daraja la pili, Theodory Babwanga akimhudumia Saidi Abdallah (41) (Albino) mkazi wa kitongoji cha Ongolelo katika kijiji cha Melela wilayani Mvomero mkoa wa Morogoro katika ward namba moja ya hospitali ya rufaa ya mkoa huo baada ya kukatwa mkono na watu wasiojulikana wakati akifunga kuni katika shamba lake kwa ajili ya biashara ili kupata pesa za matumizi.
0 comments:
Post a Comment