Mwajuma Mohamedi akitayarisha samaki katika eneo la njiapanda Mjimpya Manispaa ya Morogoro muda mfupi kabla ya kuwakaanga na kuwauzia wateja wake kiasi cha sh 400 hadi sh 1000 kulingana na ukubwa wa samaki hao.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment