AJALI YA PIKIPIKI NA GARI. mtanda blog 8:13 PM Edit Pikipiki T 792 BFN ikiwa chini baada ya kutokea ajali na gari 199 BCQ katika makutano ya barabara ya Kichangani na Kilakala Manispaa ya Morogoro ambapo mwendesha pikipiki alipoteza maisha katika ajali hiyo hata hivyo chanzo cha ajali hiyo hakikuweza kufahamika mara moja Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment