Baadhi ya Wapiga Picha Manispaa ya Morogoro wakiwa wamebeba bango lenye ujumbe unaosomeka “ picha ni kiungo muhimu katika kila nyanja” huku wakiwa na kauli mbiu ya uchaguzi mkuu 2010 uwe ni ufumbuzi wa rushwa ni adui wa haki wakati wa maandamano ya kilele cha Mei Mosi ambapo wapiga picha hao waliungana na wafanyakazi duniani kuadhimisha sherehe hizo zilizofanyika katika kimkoa uwanja wa Jamhuri mjini hapa.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment