Wajasiliamali wa kikundi cha Msamvu Makers Manispaa ya Morogoro cha kutengeneza magodolo wakiyatarisha magodolo hayo kuanzia hatua ya awali na mwisho katika kiwanda chao katika barabara ya Korogwe mjini hapa kisha kuyauza kwa wateja wao ambapo huuzwa kati ya sh 5000 hadi sh 8000.
0 comments:
Post a Comment