Mfanyabiashara wa kuuza viatu Christopher Namkumba akivuta vumbi viatu wakati akisubiria wateja wake katika mnada wa soko la nguo Sabasaba Manispaa nya Morogoro ambapo alisema pea moja huuza kati ya sh 7000 hadi sh 18000 kulinga na aina ya viatu.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment