BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MAPEASI SOKO LA MAWENZI MJI KASORO BAHARI

Kijana Juma Shabaani akisomba matunda aina ya mapeasi kutoka katika gari wakati akifanya kazi hiyo kwenye soko la matunda la Mawenzi mjini Morogoro ambayo hulipwa ujira wa sh 10,000 hadi 15,000 kutokana na ukubwa gari.



Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: