Meya wa Manispaa ya Morogoro Profesa Romanus Ishongoma akimkadhi cheti Elizabert Matembo (8) mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi Solomon Mahlangu wakati wa utoaji wa zawadi na vyeti kwa wanafunzi waliofanya vizuri mwaka 2009 katika hafla iliyofanyika shuleni hapo.
0 comments:
Post a Comment