Mkazi wa Manispaa ya Morogoro akiendesha baiskeli huku akiwa amepakia maboksi mbele ya baiskeli hiyo wakati akisafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine jambao ambalo ni hatari endepo ajali inaweza kutokea katika barabara ya Old Dar es Salaam mjini hapa.
0 comments:
Post a Comment