DARAJA LA MWERE.
Wakazi wa Manispaa ya Morogoro wakipita katika daraja la mto Mwere huku ukionekana uzio ikiwa hatua za awali ya ujenzi wa daraja la kudumu ambapo Halmashauri hiyo imetenga kiasi cha sh 1.6 bilioni kukamilika kwa daraja hilo kutapunguza msongomana uliopo kwa watumiaji wa magari katika barabara ya Old Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment