BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

AFISA USALAMA FEKI HUYU HAPA.

BAADA YA KUSIKIZA SHTAKA LAKE AKIELEKEA KATIKA CHUMBA CHA MAHABUSU MAHAKAMNI HAPO.

KIJANA IBRAHI MAGAI AKIWA CHINI YA ULINZI WA ASKARI KANZU KUSHOTO BAADA YA KUTUHUMIWA KWA KOSA LA KUJIFANYA AFISA USALAMA NA KUJIPATIA PESA KIASI CHA SH MILIONI 1.7 KWA WANAFUNZI WANAOTAKA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU CHA KILIMO CHA SOKOINE (SUA) MOROGORO, HAPA AKIWA KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MOROGORO AMBAPO ALIPANDA KIZIMBANI KUJIBU SHTAKA HILO.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: