BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MAZUNGUMZO YA BIMA YA AFYA MORO.

Mkurugenzi Mkuu Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Emmanuel Humba kushoto akimsikiliza kwa umakini Meneja Mauzo katika Bohari ya Dawa, Celestine Haule wakati wa kongomano la wahariri na waandishi waandamizi kwenye mafunzo ya utendaji wa mifuko ya afya ya jamii (CHF) na huduma za matibabu vijijini iliyoandaliwa na mfuko wa taifa wa bima ya afya.



Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: