BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MSAADA WA GARI

Katiibu Tawala Msaidizi mkoa wa Morogoro, Ester Lauwo wa pili kutoka kulia akipokea kitabu cha gari kutoka kwa Mkurugenzi wa Sightsavers Tanzania Dk Ibrahim Kabole wakati wa hafla ya kukabidhi jengo la upasuaji macho, vitendea kazi vya theatre ya macho, vifaa vya uboreshaji utoaji wa huduma kwa wajawazito na mtoto katika wilaya ya Mvomero na Morogoro iliyofanyika katika hospitali ya mkoa huo. Kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dk Frida Mokiti.



Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: