BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

NDEGE KTK MASHAMBA YA MIWA TURIANI.


Ndege aina ya Beaver yenye namba ya usajili 5YBCK inayomilikiwa na shirika la DLCO ikiwa katika mashamba ya miwa kijiji cha Kigenge Turiani wilayani Mvomero Morogoro baada ya kutua hafla kutokana na kupatwa na hitilafu wakati ikifanya kazi ya kunyunyuzia dawa kwa ajili ya ndege waharibifu koleakolea juma lilipita na watu wanne kunusulika kifo.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

Unknown said...

Congratulation to the pilot, He/She tried the best to do.