BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

DK SLAA KUOMBA WADHAMINI WA KUJAZA FOMO YA URAIS.


Mgombea wa urais kupitia chama cha Chadema Dk Wilbrod Slaa akifafanua jambo kwa wakazi wa Manispaa ya Morogoro katika uwanja wa shule ya msingi Kiwanja cha Ndege mjni hapa wakati wa kuomba wakazi wa Manispaa hiyo kutafuta wadhamini wa kujaza fomu ya kugombea urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika oktoba 31 mwaka huu.


hapa akimwaga sera.



akisalimia wakati wa Manispaa ya Morogoro.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: