BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MSIMU WA NYANYA.

Rajabu Kisanga akitayarisha nyanya katika ndoo wakati wakisubiri wateja wake katika barabara kuu ya Morogoro-Dodoma njiapanda ya Turiani Manungu mkoani hapa ambapo alisema wateja wake wakubwa ni abiria watumiaji barabarani na ndoo moja alikuwa akiuza kati ya 1,500 hadi sh 2,000.



Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: