BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE KANDA YA MASHARIKI.

Mkulima wa zao la mbaazi, Sebastian Hbuzwezwe kulia akifafanua jambo mbele ya wanafunzi wa shule ya Carmel Pri & Primary School ya mjini Morogoro wakati walipotembea banda la Halmashauri ya wilaya ya Kinondoni katika maonyesho ya wakulima uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerer Nanenane yanayofanyika katika kanda ya mashari mkoani Morogoro.


Mrisho Saidi akifafanua jambo kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Padre Pio Catholic Kihonda Manispaa ya Morogoro wakati wanafunzi hao walipotembelea kituo cha vipimo ya hali ya hewa katika banda la mamlaka ya hali ya hewa katika maonyesho ya wakulima uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerer Nanenane yanayofanyika katika kanda ya mashari mkoani Morogoro.



Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: