BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TANSEED INTERNATIONAL NANENANE


MKUU WA MKOA WA MOROGORO ISSA MACHIBYA AKIPATA MAELEZO KUTOKA KWA MKURUGENZI MTENDAJI WA TANSEED INTERNATIONAL ISAKA MASHAURI KUSHOTO WAKATI MKUU HUO ALIPOTEMBELEA BANDA LA KAMPUNI HIYO INAYOJISHUGHULISHA NA UTAFITI WA MBEGU BORA ZA NAFAKA KTK MAONYESHO YA WAKULIMA YA KANDA YA MASHARIKI UWANJA WA MWALIMU JULIUS NYERERE MKOANI MOROGORO.
\
HAPA MACHIBYA AKISALIMIANA NA MKURUGENZI HUYO ISAKA MASHAURI (MWENYE TAI) NA VIJANA WAKE WAKIWA WATUNDIKA MAHINDI MAKAVU MWILINI.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

esther said...

Mbona uweki picha wewe umeweka sura yako tu tuangalia sura yako????