BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HII NI KWA AJILI YA MAPAMBO YA X MAS.



Wafanyabiashara wa kuuza miti ya mkrismas wakiwa shawishi wateja wao kununua matawi ya miti hiyo ambayo hutumika kupamba katika nyumba hasa katika kipindi cha kuelekea kuzaliwa kwa yesu kristo desemba 25 eneo la Luna Manispaa ya Morogoro.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: