BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MFUKO WA BIMA YA AFYA.


Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Luteni Kanali Mstaafu Issa Machibya kushoto akiagana na Meneja Mifuko ya Afya ya Jamii, Rehan Athuman (katikati) mara baada ya kufungua kikao cha siku tatu cha kazi cha maofisa matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima Afya (MHNF) kushoto ni Mkurugenzi Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima Afya, Eugen Mikongoti katika hoteli ya Morogoro.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: