BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WAFANYABIASHARA WA MBOGA ZA MAJANI.



Mkazi wa Manispaa ya Morogoro akiwa amebeba mboga ya majani katika kiroba baada ya kununua kutoka kwa wakulimakisha kutembeza katika baadhi ya mitaa ya Manispaa hiyo kwa lengo la kusaka wateja wake.

Hapa Watoto wakazi wa mji huo nao wakiwa na mboga za majani (kisamvu) walichofunga katika viroba wakati wakiwauzia wateja wao nyuma ya ofisi ya mkuu wa wilaya ya Morogoro leo.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: