Benki kuu ya Tanzania imetoa toleo jipya la noti za shs 500, 1000, 2000, 10,000 ambapo noti hizo zitaingizwa katika mzunguko tarehe 1 Januari 2011 huku zile za zamani zitaendelea kuwa halai kwani zina thamani sawa na zile mpya ambapo tangazo hilo limetolewa na Benki Kuu Tanzania.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment