BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KARATA TATU SIO MCHEZO WA KUCHEZA JAMANI.



Kijana mkazi wa Manispaa ya Morogoro kushoto akiwa amekwida dada mkazi wa eneo la Manzese kwa madai ya kumuibia pesa sh 15,000 na simu ya mkononi baada ya kijana akicheza mchezo wa karata tatu eneo la mtaa wa Kisanya A kata ya Sabasaba wakati akimpeleka kituo kidogo cha polisi cha Uwanja wa Taifa mjini hapa.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: