Baadhi ya ombaomba katika Manispaa ya Morogoro wakiwaomba msaada wa pesa wasamalia wema katika mtaa wa Jamati ili kuweza kupata pesa za kujikimu hasa katika kipindi cha sikukuu ya krismasi mjini hapa.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment