BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

UCHAFU SOKO KUU LA MKOA WA MOROGORO.





Wafanyakazi wa kuzoa taka ngumu eneo la soko kuu la mkoa wa morogoro wakifanya kazi hiyo bila ya kuwa na vifaa vya kujikinga na magonjwa ya milipuka huku chombo cha kuhifadhia taka hizo likiwa limejaa hali ambayo inatoa harufu na kuwa kero kwa wafanyabiashara wa soko hilo mjini hapa.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: