BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BONANZA LA MICHEZO MOROGORO LAFANA.




MWAMUZI WA PAMBANO LA NGUMI ZA LIDHAA KG 55 AKIWANYANYUA MIKONO JUU MABONDIA KAMA ISHARA YA PAMBONO HILO KUTOA SULUHU.

HAPA SAIDI ALLY KULIA AKIWA AMEJILINDA NA NGUMI KUTOKA KWA SAIDI MAKELELE HUKU WAKIWA NA KOFIA ZA USALAMA WAKATI WA PAMBANO LAO LA KG 55 KATIKA BONANZA LA MICHEZO MBALIMBALI UWANJA WA SABASABA LA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA.

NA HAPA WAKIWA WAMEVUA KOFIA ZA USALAMA WAKIZICHAPA JAMBO AMBALO NI HATARI KWA MCHEZO HUO KULINGANA NA SHERIA ZA MCHEZO WA RIDHAA.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: