BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HII NI HATARI.


Mfanyabiashara wa kuuza ndizi katika Manispaa ya Morogoro akiwa amebeba tenga lenye ndizi kichwani wakati akisafiri kutoka eneo la chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine (Sua) baada ya kununua ndizi hizo kutoka kwa wakulima kisha kutembeza kwenye mitaa kwa lengo la kutafuta wateja wake jambo ambalo ni hatari kwa usalama wake endapo ajali inaweza kutokea na kushoindwa kumudu kutokakana na kutumia mkono mmoja.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: