BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MGAMBO CHINI YA ULINZI WA MGAMBO !.


Mgambo wa Manispaa ya Morogoro wakiwa wamemuweka chini ya ulinzi kijana anayevaa sare ya mgambo kulia ambaye anadaiwa kufanya biashara ndogo ndogo maarufu kama (Mmachinga) akiwa na lengo la kuwakwepa mgambo hao wa Manispaa wasimkamate wakati akifanya biahsra zake katikati ya mjini huo.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: