BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

POLISI JAMII




Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Luteni Kanali Mstaafu Issa Machibya katikati akifungua mafunzo kwa maafisa watenadaji wa kata, mitaa, madiwani na maafisa ugani yenye lengo la kuimarisha dhana ya polisi jamii na ulinzi shirikishi katika ukumbi wa New Savoy hoteli mjini hapa. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Polisi Jamii nchini SACP Basilio Mathei na kushoto ni Kamanda wa mkoa wa Morogoro Adolfina Chialo.


Kamanda wa mkoa wa morogoro Adolfina Chialo kulia akiwa na Mkuu wa Kitengo cha Polisi Jamii nchini SACP Basilio Mathei wakati wakifuatilia matukioa mbalimbali katika ukumbi huo.

Mwenyekiti Mafunzo wa Ulinzi Shirikishi Ngazi ya kata Taifa, Abou Maddy kushoto akifafanua jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Luteni Kanali Mstaafu Issa Machibya kulia mara baada ya kufungua mafunzo kwa ngazi ya maafisa watenadaji wa kata, mitaa, madiwani na maafisa ugani katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Polisi Jamii nchini SACP Basilio Mathei.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: