BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SOKA LIGI KUU TANZANIA BARA MZUNGUKO WA PILI.





MSHAMBULIAJI WA KAGERA SUGAR RAPHAEL KEYALA KULIA AKICHUNANA NA BEKI WA RUVU SHOOTING MANGASIN MBONO WAKATI TIMU ZAO ZILIPOPAMBANA KATIKA MCHEZO WA LIGI KUU YA VODACAM UWANJA WA JAMHURI MOROGORO AMBAPO KATIKA MCHEZO HUO ULIMALIZIKA KWA KUTOSHANA NGUVU YA KUFUNGANA BAO 2-2.

MCHEZAJI WA KAGERA SUGAR RAPHAEL KEYALA KULIA AKICHUANA NA MCHEZAJI WA RUVU SHOOTING DAVID CHARLES WAKATI WA LIGI KUU YA VODACOM MZUNGUKO WA PILI KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI HAPA.

KIKOSI CHA RUVU SHOOTING.

KIKOSI CHA KAGERA SUGAR.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: