ASKARI WA WANYAPOLI KATIKA HIFADHI YA MIKUMI AKIWA KWENYE ULINZI WA MALI.
ASKARI WA WANYAMAPOLI WA HIFADHI YA MIKUMI NATIONAL PARK AKIWA KWENYE LINDO HUKU AKIPITA NDANI YA BASI NDOGO MARA BAADA YA KUTOKEA AJILI ILIYOHUSISHA NA MALORI MAWILI T 559 BDL LILILOKUWA LIMEEEGESHWA BAADA YA KUHARIBIKA HUKU LIKIWA NA MBAO NA LORI LENYE NAMBA YA USAJILI T 530 BHY NALO AMBALO LILIGONGANA NA BASI HILO NDOGO KABLA YA YOTE KUACHA NJIA NA KUPINDUKA NA KUSABABISHA WATU 13 KUFARIKI DUNIA PAPO HAPO NA WENGINE 13 KUJERUHIWA KATIKA TUKIO HILO.
0 comments:
Post a Comment