VITUKO VYA USWAHILINI PAKA ADAIWA KUHUSISHWA NA IMANI ZA KISHIRIKINA MORO.
MGANGA WA JADI (TIBA ZA ASILI)KUTOKA MKOA WA TABORA, MFAUME ALLY (28) AKIWA NA PAKA ALIYEKUFA BAADA YA KUDAIWA KUSHINDWA KUTEKELEZA JARIBIO LA NGUVU ZA GIZA KATIKA NYUMBA YA MKAZI WA MTAA WA MIEMBENI KATA YA CHAMWINO MANISPAA YA MOROGORO AMINA ALLY (55)KWA KUANGUKA KUTOKA KWENYE PAA LA NYUMBA HIYO NA KUDONDOKA CHINI KABLA YA KUMKUTA UMAUTI PAKA HUYO MACHI 30 2011 MKOANI HAPA.
0 comments:
Post a Comment