BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MAUAJI YA KINYAMA MORO.



Mke wa marehemu Issa Ramadhani, Mwajuma madiso akilia baada ya kuona mwili wa mume wake aliyefariki dunia katika mazingia ya kutatanisha kisha mwili huo kutupwa katika eneo la Chuo Kikuu cha Kilimo cha sokoine (SUA) ambapo inadaiwa alipotea nyumbani kwao kwa siku tano kabla ya kifo chake mkoani Morogoro.

HAPA CHINI Wakazi wa Manispaa ya Morogoro wakiangalia mwili wa marehemu Issa Ramadhani kulia uliolala chini
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: