BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

NA HII NI AJALI NYINGINE.




Gari aina ya toyota prado lenye namba ya usajili T 786 AHF likiwa limetumbukia kwenye mtaro jirani na mzunguko wa Sua katika barabara ya Sabasaba Manispaa ya Morogoro baada ya kuacha njia kabla ya ajali hiyo kutokea hata hivyo chanzo cha ajali hiyo haikuweza kufahamika mara moja mjini hapa. JANA APRIL 23, 2011
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

Anonymous said...

sababu watu walevi