Wakazi wa Manispaa ya Morogoro wakiwa wamemkwida kijana ambaye anadaiwa kufanya uharifu wakati wakifanya jitihada za kumzibiti ili wamfunge kamba kwa ajili ya kumpeleka katika kituo kikuu cha polisi mkoa wa Morogoro eneo la Mtawla mjini hapa.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment