BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

NISHATI YA KUNI !!!


WACHUUZI WA KUNI KATIKA MANISPAA YA MOROGORO WAKIJIPUMZISHA ENEO LA TENESCO BARABARA KUU YA DODOMA-MOROGORO HUKU BAISKELI ZAO ZIKIWA ZIMESHEHENI KUNI WAKATI WAKIELEKEA KATIKATI YA MJINI HUO BAADA YA KUKATA PORINI KATIKA MISITU YA MKUNDI WILAYANI MVOMERO KWA LENGO LA KUSAKA WATEJA WAO AMBAO WENGI WAO NI WANANCHI WEENYE KIPATO CHA CHINI KUTOKANA NA KUSHINDWA KUMUDU GHALAMA ZA UENDESHAJI KAMA MAJIKO YANAYOTUMIA NISHATI YA UMEME NA GESI.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: