TUNA KARIBISHA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA SEHEMU YOYOTE NDANI NA MKOA WA MOROGORO NA NJE YA MKOA HUO KUTOKA KWA WADAU WETU ILI KUWEZA KUPANUA WIGO WA MATUKIO IKIWEMO PICHA ZA SHEREHE YA KUZALIWA, KIPAIMARA, NDOA, MAHAFALI N:K.
CHAKUFANYA PICHA HIZO ZIPIGWE NA KAMERA YA DIGITAL KISHA TUMA KWA ANUANI HII YA BARUA PEPE, jphoto2005@yahoo.co.uk IKIWA NA MAELEZO KAMILI.
YAANI JINA KAMILI, UMRI KAMA UTATAKA UWEKWE, SEHEMU YA TUKIO, MKOA NA KAMA ITAWEZEKANA HATA MTAA PIA.
BLOG HII BADO IPO KATIKA MAREKEBISHO MAKUBWA YANAENDELEA KIDOGO KIDOGO KUREKEBISHWA NA MTALAAM WETU NDIO MAANA TUNAJARIBU KUTUMIA UKURSA HUU KUWASILIANA NANYI WAPENDWA WADAU WETU.
ASANTENI NA KARIBUNI, TUPO PAMOJA.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment