BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

UKAGUZI KABLA YA KUJA UGENI KATIKA UWANJA WA JAMHURI MORO.


Mkuu wa mkoa wa Morogoro Issa Machibya kushoto akifafanua jambo kwa baadhi ya wanakamati wa ulinzi na usalama mkoa huo wakati walipotembelea uwanja wa Jamhuri Morogoro ambao utafanyika sherehe za wafanyakazi Mei Mosi kitaifa, kutoka kulia ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, Adolfina Chialo, mwenye miwani ni Mhandisi wa barabara mkoa wa Morogoro, Charles Madinda na watatu ni Afisa Usalama mkoa wa Morogoro huo, Robart Kusekwa.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: