BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WASOMALI 82 CHINI YA ULINZI MKOA WA MOROGORO




Askari polisi wakiwa wanawalinda raia wa nchi ya Somalia 82 baada ya kuwakamata katika kijiji cha Mtumbatu barabara kuu ya Dodoma-Morogoro eneo la Gairo wilaya ya Kilosa April 27 mwaka huu wakati wakisafirishwa kwenye malori wakielekea nchi jirani ya Malawi baada ya kufikishwa katika kituo kikuu cha polisi mkoa wa Morogoro jana.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: